Huku ikisalia mechi moja ya ligi kuu ya soka daraja la kwanza nchini Rwanda, AS Kigali wanaongoza ligi. APR FC imeichapa Rayon sports bao 1-0 katika uga wa Kigali Nyamirambo. Ilikuwa huzuni na majonzi ...